Gari inauzwa haraka Toyota Hilux 2.8 engine 3L

Gari inauzwa haraka Toyota Hilux 2.8 engine 3L

mtumishi, taja bei na baadhi ya details za hiyo gari uuze
 
tunakodisha magari kwa shughuri mbalimbali iwe harusi matembezi binafsi kwa being nafuu kwa maelezo zaidi wasilina name as kupitia namba 0714797117 karibuni sana. by misodos car rental
 
Mkuu itawezekana vp kuuza gari haraka bila details kamili wala bei.
 
Karibu gari ipo sokoni bei poa sana
 

Attachments

  • 1421247543835.jpg
    1421247543835.jpg
    44.2 KB · Views: 227
Karibuni bei inaanza 12 milioni zaidi maelewano
 

Attachments

  • 1421248441637.jpg
    1421248441637.jpg
    97.7 KB · Views: 267
Tusiikuwa na whatsapp haturuhusiwi kuinunua? Basi tutajie japo bei ili tusuuzike na roho zetu

hebu nivutie huu mkoko, mjukuu wako makwapa yatang'oka kwa kushikilia bomba
 
Umesema gari jipya kabisa, hilo sio jipya bwana acha uongo....halafu mtu akiingia hapo kwny hayo makazi hamtamng'oa kucha?

ukishaona mwenye biashara anaficha fiicha ujue hapo ni chenga tupu. ona kama hii.
 
Hapa limepaki tu na @ Husninyo sio jipya nani kasema jipya ndugu yangu kama mteja njoo kasoro kasoro ina maana huna pesa na si muhitaji. Njoo ununue usiache karibu sana
 
Karibu leo nipo hom naweza kwe da kuichukua nilipoipaki na kukuonesha ulipo karibu na hapa
 
Acha biashara za kimachinga...tupatie bei,picha,km ilizotembea sio unakurupuka... we mtu wa kati?
 
Wadau gari nimepaki Kilwa road Pub karibuni muione hapa nipo saloon nanyoa nywele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom