Hahahaa
Soma sheria za jf za kubandika matangazo mkuu ......???Sawa Mkuu watakuja wenye uwezo
Wewe wacha maneno ya kukwaza watu, weka picha kama unatangaza biashara, wacha maneno ya maudhiSawa Mkuu watakuja wenye uwezo
Hilo shati au shuka?5m ipo kwenye mfuko wa shati
Mkuu kwani milioni tano ni USD ngapi?Hilo shati au shuka?
Ila hata dola buku mbili ni ka bundle fulani hivi jombaa, kimfuko kitatuna.Mkuu kwani milioni tano ni USD ngapi?
Jombaa USD buku mbili ni kama unene wa simu tu, zinakaa vizuri kabisa kwenye mfuko wa shatiIla hata dola buku mbili ni ka bundle fulani hivi jombaa, kimfuko kitatuna.
Poa jombaa.Jombaa USD buku mbili ni kama unene wa simu tu, zinakaa vizuri kabisa kwenye mfuko wa shati
Mkuu mambo vipi, hivi ulifanikiwa kuwa jirani yangu kule mkonze?Sawa Mkuu watakuja wenye uwezo
DF 2015 na DA ni mwaka gani?DF ni namba ya 2015 sielewagi kwanini Premio na Allion hua bei zake zimewekwa juu sijui ni sababu za watu wanaojitahidi kwenye maisha au vipi