Gari inahitajika.

Gari inahitajika.

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,202
Salamu wakuu,
Corolla,Cardina au mark two.Cylinder 4. iwe manual na number isiwe A inahitajika.
Bajeti ni haizidi 3mln!!
 
Salamu wakuu,
Corolla,Cardina au mark two.Cylinder 4. iwe manual na number isiwe A inahitajika.
Bajeti ni haizidi 3mln!!
Kuna jamaa mmoja namjua anayo 111 manual anaiuza 3m maongezi kidogo Yapo iko kinondoni
Ukiwa serious Sema nkulink naye

Ova
 
Kuna jamaa mmoja namjua anayo 111 manual anaiuza 3m maongezi kidogo Yapo iko kinondoni
Ukiwa serious Sema nkulink naye

Ova

Fanya hivyo Mkuu,itasaidia kwa matumizi ya mgonjwa nyumbani ambae daily anahitaji transport ya kwenda hospital!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom