Gari inahitajika haraka

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
2,004
Reaction score
10,399
Naomba nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake! nakuja mbele yenu wakuu nikitangaza nia yakununua gari kulingana na urefu wa kamba yangu! nahitaji gari kati ya aina zifuatazo:-
1. Vits
2. Swift
3. Corola premier na nk
mwaka wowote na isizidi mil 4.5 kama ipo au mtu anayo anaitaji mteja basi natangaza nia kuwa nipo MWANZA na nahitaji gari kati ya hizo kwa bei tajwa hapo juu! tuwasiliane kupitia 0768 85 13 96
 
nipo serious na nsha kupim aisee
Kama ni gari yako ya kwanza sipati picha siku ukiinunua kama hautalala humohumo.
Mwenzio nilikuwa hadi chakula cha mchana na usiku nakula ndani ya gari ndani ya geti.
Yaani gari ikipita nje basi mie naamka naenda kuiangalia kama imejiwasha yenywewe,duhh iasee.
Halafu huu ugonjwa ukamuambukia mke wangu,yeye alikuwa nakaa kwenye stering karibu kutwa nzima,akijiona kama yupo njiani vile.Yaani kuna vitu ukikumbuka enzi hizo ni ugonjwa tosha ila inakuwa siri ya mhusika tu.


Ushauri,waambie watu waweke hapa hizo picha ili usaidiwe ushauri.Pm hizi unaweza kulia
 

mkuu kununua gari kwa mara ya kwanza sio ishara kuwa hujawahi kuwa na gari kamwe.
 


nashukuru kwa ushahuri but naweza sema mpaka sasa wanaojitokeza wengi hawaja niridhisha maana msemo wako wengi ni maneno mengi! we unayo unauza ????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…