gari hili lina thamani ya milinoni 530/=

gari hili lina thamani ya milinoni 530/=

pageup

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
156
Reaction score
59
100_0954.JPG 100_0953.JPG 100_0952.JPG
 
Da!nimekumbuka Tosamaganga secondary walikuwa wana kitu kama hii ila yao imekaa vzr
 
Gari hii miaka hiyo wazee walikuwa wanaiita Binti Fundi wakimaanisha Bedford. Umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
Da!nimekumbuka Tosamaganga secondary walikuwa wana kitu kama hii ila yao imekaa vzr
Umenikumbusha mbali sana ile ngoma ilikuwa "blue color", siku za j'mosi wakati inakwenda mjini kufanya shopping ya shule tulikuwa tunaitumia kwenda kutembea mjini halafu mnaitaimu wakati wa kurudi mnarudi nayo, ikikuacha imekula kwako halfu unakuta poketi money nayo imekata.
Unamkumbuka mnadhimu (discipline master) Mr. Mavika alivyokuwa anapenda sifa?
 
Back
Top Bottom