Harrier majanga. hizi gari wananunua watu tunaowaita NOVEAU RICHIE. yaani walioanza kupata hela hivi majuzi hawana kapiriensi na mambo ya magari tunaweza tukawaita SHOW OFF. hiyo gari haifai kabisa kwenye rough road. Ukitaka nyumba ya kufugia kuku ya kudumu nunua harrier.Ukitaka uwe na namba za simu za mafundi wengi wa magari. nunua harrier. Gari hii ni ya ki elektroniki zaidi.
Si ukanunue shida iko wapiii! Keshakwambia iko kielectronic zaidi! Husomi naanza kumshambulia. Kanunue ndugu uje utuambie hapa!Huo ni aina ya wivu wa kike, sina uhakika km umewahi kununua au kutumia hii Gari, Gari zote zona matatizo yake km huitunzi vizuri. Acha kukatisha watu tamaa esp' many biashara za watu. Hebu waambie watu technical problems za hii Gari kuliko kuandika kisiasa.
Harrier haina shida, tatizo ni matunzo tu! Gari zakisasa zote ni full electronic, hivi wajuwa kuna harrier ina injini ya 4s?Si ukanunue shida iko wapiii! Keshakwambia iko kielectronic zaidi! Husomi naanza kumshambulia. Kanunue ndugu uje utuambie hapa!
kaka ni nzuri kaka...ungepiga picha na engine nimuonyeshe ndugu yangu alikuwa anatafuta hii kitu sema kwa hiyo cc. 2500 itabidi avumilie tu, kingine naona imebondwa bondwa sana bila shaka alikuwa anatumia mama kayayiiiMake: Toyota
Model: harrier
Year /registration: 2000
Cc: 2500
Condition: good/running
Tax: All paid
Price: 8mil
Location: Dar es Salaam
Registration No's: T...BJV
contacts; pm or 0714010511
Hivi hizi gari zina tatizo gani? Mbona nyingi tu zinauzwa na ukiangalia unaona zinavutia kweli, lakini watu wanaziuza hadi mil6, tatizo ni nini hasa wadau?
Harrier majanga. hizi gari wananunua watu tunaowaita NOVEAU RICHIE. yaani walioanza kupata hela hivi majuzi hawana kapiriensi na mambo ya magari tunaweza tukawaita SHOW OFF. hiyo gari haifai kabisa kwenye rough road. Ukitaka nyumba ya kufugia kuku ya kudumu nunua harrier.Ukitaka uwe na namba za simu za mafundi wengi wa magari. nunua harrier. Gari hii ni ya ki elektroniki zaidi.
Hivi hizi gari zina tatizo gani? Mbona nyingi tu zinauzwa na ukiangalia unaona zinavutia kweli, lakini watu wanaziuza hadi mil6, tatizo ni nini hasa wadau?
Thank you for the clarification brother. Manake nilikuwa nashangaa gari zinapendeza kweli, lakini they very cheap.Kabda hujanunua kwa hiyo 6ml waulize ni model ya mwaka gani na kama ni 6 cylinder au 4.ukiikuta 6 ata Japan - Dubai ni cheap sana maana hayana demand, lakini ukiikuata ni 4 ni expensive hasa hizi new model.kuhusu tatizo za teknojia kama jamaa hapo juu alivyosema sina uhakika maana nimelitumia some yrs back.
Ni kama ilivyo simu ndugu, kuna watu wana hobby za kubadili magari kila baada ya muda fulani. Nina jirani yangu ambaye hamalizi mwaka na gari, yeye huwa anayatoa showroom moja kwa moja. Ni ladha tu
Watueleze nini tatzo la Harrier
mara nyingi zina matatizo sana nilisikia.
Vere gharama kuzi maintain