AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 954
Siku zote huwa nafurahia sana comments zako. Yaani leo nimecheka hadi basiHarrier majanga. hizi gari wananunua watu tunaowaita NOVEAU RICHIE. yaani walioanza kupata hela hivi majuzi hawana kapiriensi na mambo ya magari tunaweza tukawaita SHOW OFF. hiyo gari haifai kabisa kwenye rough road. Ukitaka nyumba ya kufugia kuku ya kudumu nunua harrier.Ukitaka uwe na namba za simu za mafundi wengi wa magari. nunua harrier. Gari hii ni ya ki elektroniki zaidi.