Gari hii inauzwa.

Gari hii inauzwa.

hizi hapa mkuu

hivi mkuu....kwanini unalidhalilisha hili gari kwa kuliuza 6m....limeharibika nini ulichoshindwa kukitengeneza?....au ndio hutaki hata kuliona maana jana ulivyorudi usiku umemgonga mbwa wako kipenzi german shephard...so unaugulia machungu ya gari yako kumuua mwanafamilia wako?

Be open please...its soo and very cheap..y?..kwann?
 
mnhhhhh...tunatishana jamani...mbona mie hiyo ndio ndoto yangu niliyokuwa naomba kiza kiingie nilale ili niiote...duhhh. Kwahiyo nibadilishe ndoto sio?

Umesema njia za vumbi haifai?....sasa dar wap kuna vumbi na lami yote hiyo.....hata kwetu songea njia nzima mpaka matarawe full lami......sikubali bana...lazima ninunue ili ndoto itimie...halliya foo laifuuuuuuu.
mataraweni,yamkaya
 
Magari yanashuka bei wala msiogope...mbeleni tutanunua kwa milioni tu gari la maana. Wenye vituo vya mafuta wanataka yanunuliwe wanaweza kukupa gari hata la ofa
 
Woow! Gari bado mbichi kabisa. Hiyo ukiipiga rangi mkono mmoja, utadhani imetoka japani. Wenye hela zenu, fanyeni biashara hapa...
 
hivi mkuu....kwanini unalidhalilisha hili gari kwa kuliuza 6m....limeharibika nini ulichoshindwa kukitengeneza?....au ndio hutaki hata kuliona maana jana ulivyorudi usiku umemgonga mbwa wako kipenzi german shephard...so unaugulia machungu ya gari yako kumuua mwanafamilia wako?

Be open please...its soo and very cheap..y?..kwann?

Ni 8mil mkuu, gari ni nzima kabisa ila km unavoona picha hapo INA damage ndogo maana aliekuwa anatumia alikuwa learnar , ndio maana bei ko chini... Gari iko poa ht mm naitamani bado
 
Si ukanunue shida iko wapiii! Keshakwambia iko kielectronic zaidi! Husomi naanza kumshambulia. Kanunue ndugu uje utuambie hapa!

Mdau umenena kuna libishi lingine liko kwenye uzi wa grande mark 2 yaan kani koti mpaka kinyaa unalielimisha halitaki sasa cjui linataka nn hayo magari ni ya wa kama ulivo pata kunena
 
sio kweli bana...

Ingekuwa kila gharama tunazikimbia basi hata hawa wanawake tunao-waoa tungewakimbia...maana gharama sana kuishi nao.....gharama zinazojitokeza zinamezwa na kuwa fully covered kwenye mapenzi uliyonayo juu ya hiyo gari....

Mie hata hummer ingekuwa inatumia maji ya bomba au hata ya bahari unachota bure bado ningeona garama kulipenda....gari kama jifaru la jeshi mjigari gani huo?.....

Ila range rover sport evog navyoipenda hata ingekuwa inatumia damu ya ngombe ningeinunua kila siku sheli vingunguti naingia road kuzungusha ndoto yangu....potelea mbali ngombe wote waishe mie gari litembee.
Hahahahaaaaaaaaaaa,saluti kwako
 
Nilikuwa na interest ya kuona ndani iko vipi, je haikuwahi kupata ajali?
 
Hivi wewe huonagi wezio wanavyoeka picha? Piga ndani tuone, funua mbele tuone, 4WD au 2WD?
 
wengine bado hatuna hata baskeli mnatangaza harrier m8, dah kweli maisha hayafanani na usiseme watanzania hawana hela bali sema tu wewe ndo huna hela
 
sio kweli bana...

Ingekuwa kila gharama tunazikimbia basi hata hawa wanawake tunao-waoa tungewakimbia...maana gharama sana kuishi nao.....gharama zinazojitokeza zinamezwa na kuwa fully covered kwenye mapenzi uliyonayo juu ya hiyo gari....

Mie hata hummer ingekuwa inatumia maji ya bomba au hata ya bahari unachota bure bado ningeona garama kulipenda....gari kama jifaru la jeshi mjigari gani huo?.....

Ila range rover sport evog navyoipenda hata ingekuwa inatumia damu ya ngombe ningeinunua kila siku sheli vingunguti naingia road kuzungusha ndoto yangu....potelea mbali ngombe wote waishe mie gari litembee.

Kaka shikamoo
 
wengine bado hatuna hata baskeli mnatangaza harrier m8, dah kweli maisha hayafanani na usiseme watanzania hawana hela bali sema tu wewe ndo huna hela

Watu wanamiliki Ferrari za Mil.800 ndg tena ni hapa Tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom