Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 857
- 1,653
Inawezekana yote yakawa yanatembea, ilaGari A ameshika breki kusimama.
Gari B linatembea na mwendo constant.
Gari C limeanza kutembea ndo anaanza safari au linatembea ila ameongeza mwendo tofauti na ulikuwa mwanzo
Hizi ni Sheria za mwendo (Netwons Laws of motion)