Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,590
- 25,696
Mkuu kununua hakuna tatizo yapo makampuni mengi tuu yanauza magari used na kwa bei nzuri tatizo ni baada ya kununua kwa baadhi ya magari ambayo yananunulika sana Jozi yanaibiwa sana sema ukinunua ni service na kuondoka mapema muda wa Massa ya kazi ndio uitafute Botswana ni masaa matatu kuitafuta Gaborone kutokea Jozi...wapo Metal scrap yard,SMD ya Borgsburg na city deep wanauza gari bei nzuri na unadeposit cash bank unapeleka slip na kuchukua Gari yako na pia unaweza ukaona bei imendikwa ipo juu unawashusha tuu wanakuuzia...Kaka Isanga family usalama unakuaje apo sasa jozi ukitaka kuja kuchukua dinga