Gari Cresta inauzwa.

Gari Cresta inauzwa.

Usipotoshe ndugu nielekeze nikachukue
Sipati faida yoyote kwenye huo upotoshaji tembelea minada ya TRA pale W9 utajua
1474212494603.jpg
1474212504118.jpg
1474212512476.jpg
kitu hiyo haifiki mwekundu pale pamoja na registration
 
Ata kama ni machinga style ila yako imezidi. ungeanza ata na mil 6 basi.

Ndo uwelcome negosiesheni wakwetu.
 
Hata wa mkoani huwezi kumuuzia kwa bei hio mkuu. Nilinunua msumali wa hatari mark2 grand gx115 kwa 7. 2mn namba hiyo.
Gari nzuri lkn punguza bei, tena kwa usawa huu ndio kabisa, labda kama huna haraka😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom