Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana auZa mnada hulipi zaidi ya plate number
MInada inafanyikaga wakti gani?Sipati faida yoyote kwenye huo upotoshaji tembelea minada ya TRA pale W9 utajuaView attachment 402679View attachment 402680View attachment 402681kitu hiyo haifiki mwekundu pale pamoja na registration
Kama hauko kwenye cartel hununui gari kwenye huo mnada. Nishajaribu nikaona ujinga tu. Magari mengine yanapandishwa bei kuliko mtaani.Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana au
wakuu mnaweza fafanua kidogo kuhusiana na bei.jangala hiyo bei ndugu yangu mmh! Ujue hapo bandarini zipo m6 tu
Mkuu bandarini mpaka 5.8