Gari carina iko sokoni

Gari carina iko sokoni

Nimeona comments za wengi humu ndani ziemea kwa namba. Hicho sio kigezo cha ubora wa gari. Kuna gari za wahindi pale Upanga na Oysterbay ni namba A ila hata Kibaha maili moja hazijafika. Ila pia kuna gari utapata ni DLN ila zimeburutwa kona zote za Tz. na Mileage imesoma kuliko hizo A. Mimi gari huwa naamini katika ubora wake/uzima then namba zifuate.
So if can't say something nice then at least be silent.
I wish there was a button for multiple likes. Well said bro.
 
Sio makosa yako. Soma thread ukaielewa kwanza before being emotionally driven to post a reply.
Narudia tena; soma thread yangu upya ukaielewa vizuri utajua nilichomaanisha.
You're being so defensive with harsh responses, you're being so pessimistic
A
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom