gari bovu halivuti gari bovu!

gari bovu halivuti gari bovu!

Nilianza kuimba toka mdoo,sasa nimekuwa sio tena mdogo,
kaa pembeni e bwa mdogo,
ngoja mike yenyewe moja,kila mmoja hataki kungoja ,kila mmoja anataka namba moja,,,

Hapo ndo nyumbani, manzese crew we are strong though few, naruka tikitaka Madame B ananitaka , namchukua,nakuchakachua, pasipo masikhara wala papara, na akija Chimbuvu sishindwi kumtolea uvivu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom