gari bovu halivuti gari bovu!

gari bovu halivuti gari bovu!

Last edited by a moderator:
Bishanga ndo nshajizeekea jamani,mai waif mama The secretary bishanga choka mbaya, hawara yangu Kongosho ndo kabisa anatembea na dripu,kimada wangu Mamndenyi ndo kakongoroka bi kidude ana nafuu, jamani natafuta kachicken spring ka kuwa kananshtua siku moja moja.Mabinti warembo amu Arabela marejesho embu sogeeni ubaazi huu niwape tiketi za business class tukutane Nassau,Bahamas.
Angalizo:Gari bovu huvutwa na gari zima.

mboni ya taktaka huvutana..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom