Gari aina ya semi imeanguka kwenye milima ya Sekenke

Gari aina ya semi imeanguka kwenye milima ya Sekenke

Heading inakuwa ndefu kuliko habari yenyewe, habari inakosa mvuto
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ngoja kiwake tu walipuke,
Watu wanawaka daily hawasikii,tumechoka sasa
 
hivi asilimia kubwa ya watu ni wezi ila huwa hawajapata fulsa?!...inakuwaje kukimbia kuiba mali wakati wa ajali
 
Hebu tujuze nini kimejiri ni semi trailer kontainer ama tanker la mafuta, hali kwa ujumla ipoje eneo la tukio ukisema watu wamekimbilia na vidumu peke yake haitoshelezi habari yako
 
Mmoja akili zitamtuma achukue betri kisha mtoa roho anaaogea taratibu kufanya yake
 
watu wanaotokea pale wamejenga na kusomesha watoto wao kwa kuiba mali za wahanga wa ajali na unakuta wengine wanafanya patrol, we ukiwaona utafikiri wapita njia kama wewe kumbe wanaomba gari lianguke.! hata hapa arusha kuna kabila moja gari likianguka au likiaribika maeneo yao huna bahati..!!
 
Back
Top Bottom