mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,045
- 1,503
Wadau!
Naomba kufahamu wapi ntapata gari aina ya PRADO ya bei nzuri na isiyokuwa mbovu. Naihitaji sana na haraka kwa bei isiyozidi Tshs. 13,000,0000.
Mengineyo:
Naomba kufahamu wapi ntapata gari aina ya PRADO ya bei nzuri na isiyokuwa mbovu. Naihitaji sana na haraka kwa bei isiyozidi Tshs. 13,000,0000.
Mengineyo:
- Rangi iwe sliver, kijivu, white, darkblue, grey n.k
- Iwe ya kuanzia mwaka 2000,
- Iwe inayotumia petrol,
- Iwe automatic or autmanual,
- Iwe right hand,
- Iwe ya milango mitano,
- Iwe yenye uwezo wa kubeba watu 8
- Anyother specifications kadri mtakavyoona inafaa.