big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 401
- 1,089
Mwenye gari dualis number E anichek PM.
Pesa ipo mfuko wa shati
NB: Madalali wenye tamaa hapana
Pesa ipo mfuko wa shati
NB: Madalali wenye tamaa hapana
NdIO mimi mwenyew dalaliNb:madalali wenye tamaa hapana,HAKUNA DALALI ASIYE NA TAMAA NA PESA....
KAMA PESA MFUKO WA SHATI AGIZA GARI LAKO KIONGOZI UFUNGE NUMBER E MWENYEWE,ACHA RAHISI AU WEE MWENYEWE DALALI??.
Utawatambua kuwa ni madalali kama watakuuliza swali hili, "bajeti yako ngapi?" Mwenye gari atakutajia bei anayoitaka moja kwa moja. Madalali ndo wanauliza hilo swaliMwenye gari dualis number E anichek PM.
Pesa ipo mfuko wa shati
NB: Madalali wenye tamaa hapana