Gari aina ya Mark X (Mark II) inauzwa

Gari aina ya Mark X (Mark II) inauzwa

Lusato

Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
29
Reaction score
5
Mark X inauzwa bei poa ni mpya kabisa na imelipiwa kodi(kila kitu), engine ni 2.5, ni toleo la 2007/2008, imetembea km:550000 na bei yake ni 24m pia ni salama kabisa kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba: 0714375365 au Email: mpambano40@gmail.com
 

Attachments

  • IMG-20150127-WA0003.jpg
    IMG-20150127-WA0003.jpg
    172.1 KB · Views: 1,675
  • IMG-20150127-WA0004.jpg
    IMG-20150127-WA0004.jpg
    175.9 KB · Views: 1,523
  • IMG-20150127-WA0005.jpg
    IMG-20150127-WA0005.jpg
    217.6 KB · Views: 1,470
  • IMG-20150127-WA0006.jpg
    IMG-20150127-WA0006.jpg
    287.3 KB · Views: 1,406
Bandiko halijitoshelezi, weka:
1. Bei ya kuanzia hii inavuta attention.
2. Specification zake zote i.e odometer reading, ukubwa wa injini, manufacturing year etc
3. Vibali vyote au kama ndio imeingizwa nchini imelipiwa ushuru?

Hata hivyo kuna kitu hujakieleza lakini nakiona upande wa kushoto hapo nyuma.
 
hizo kilometer mjomba, hebu ondoa sifuri ili tuzungumze!!:llama:
 
imetembea km 550000 duh majanga hapo

Kweli aisee hiyo ni mileage ya used semi trailer.Nahisi labda hesabu kwake ni shida au kakosea bahati mbaya ila kama ni kweli basi hiyo gari inabidi iuzwe chini ya milioni tano kwa sababu imetembea sana aisee yaani haifai.
 
milion 24 bora kuagiza hukooo ughaibuni

Zinapatikana milioni 15 tu hapa Dar na mileage yake ni chini ya 80000 we unaenda kuilipia motor vehicle,bima na mambo mengine madogo madogo yahusuyo gari ngoma inaingia kwa barabara.Ingia carmudi.com ujionee mwenyewe.
 
Mie niliagiza Mark x kutoka Japan yenye km 63000/= Kwa 15m . huyu 24m kazitoa wapi? Au anadhani wana~jf hawajui zinakotoka?
 
Mark X inauzwa bei poa ni mpya kabisa na imelipiwa kodi(kila kitu), engine ni 2.5, ni toleo la 2007/2008, imetembea km:550000 na bei yake ni 24m pia ni salama kabisa kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba: 0714375365 au Email: mpambano40@gmail.com

Kwahiyo mileage hata Mchomoko (Noah) kutoka Musoma mjini kwenda Tarime una nafuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom