Kaka altezza ni gari zuri sana, though ulaji wa mafuta nao sio haba.
Ukipata SX-10 model, engine ya Yamaha, 3S-GE beam, cylinder 4 ni nzuri.
Nimepitia Post flani nikaona mtu kasema hazina Navigation system, No huo sio Ukweli, Mi ya kwangu Inayo, though accuracy sio nzuri sana, but you can still change the firmware.
I
2000CC, 180km/h on the gauge.
Spare sio Tatizo sana ukilinganisha na Nissan.
Tairi na rim za sport, 17"
Napenda sana Balance yake kwa road,