Six cylinder tabia yake huwa inakunywa sana mafuta.Lita moja kwa Km 9
kumbe zinakula mafuta vizuri hivyo..mimi nilifikiri lita moja kwa km 5.
chukua starlet
jipange mafuta tu mkuu ila hata spea zake majanga kweli
jipange mafuta tu mkuu ila hata spea zake majanga kweli
Majanga una maanisha nini???!!!!
Kama una taka gari ya ujana kwa bei ya wastani utayoenjoy nayo town na safarini kama uendako ni lami chukua hiyo gari na wala hutojuta!!!!!!
Suala la mafuta ni uwezo wako sasa!!!!
Six cylinder tabia yake huwa inakunywa sana mafuta.Lita moja kwa Km 9
kaka watu wanachekesha sana....lita 1 kwa km 9 mtu analalamika.....
Chukua alteza wewe upate na mademu wakali we unadhani gaia atakufata nani
chukua grande gx 110 mkuu, ina comfortability ndani ya gari, ipo stable barabarani na ina nguvu