Gardeners corner: For flower lovers

[emoji1545] umenihamasisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Majani haya ni magumu sana kuyaotesha kwani unaweza kupanda vishina 30 ukapata kimoja ua ukakosa vyote! Unatakiwa upande karibu kabisa ya ukuta na maji yawepo muda wote, ili kewezesha hili unajaza maji kwenye chupa na kifunika kisha unatoboa tundu na kuisimamisha juu chini iingie kwenye udongo nchi nne hivi, maji yatatoka taratibu kwa zaidi ya siku moja kulingana na ukubwa wa chupa. Jani hili lipandwe kwenye ukuta unaopigwa na jua linajishika lenyewe ukutani na hukua haraka, pia unahitaji mkasi mdogo kwa ajili ya kukatia kwenye madirisha na sehemu usiyotaka liende, manufaa, chumba hakipati joto kutokana na matofali ya ukuta kutopigwa jua ni sawa na nyumba kuwa chini ya mti.
 
Maua niyaonayo hayana maelezo ya jinsi ya kuyapanda eneo yaani ndani ya nyumba, nje ya nyumba au kivulini, udongo na kiasi cha mahitaji ya maji hivyo kutomuelimisha msomaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…