Gardeners corner: For flower lovers

Hapa nilitegemea kuona kila mmoja alichokifanya badala yake naona bustani za kusadikika! Kwa bustani hizi za kusadikika hatuwezi kubadilishana maua au ujuzi kwenye utunzaji wa hayo maua, kama kuweka picha zipo nyingi sana mitandaoni.
 
Hapa nilitegemea kuona kila mmoja alichokifanya badala yake naona bustani za kusadikika! Kwa bistani hizi za kusadikika hatuwezi kubadilishana maua au ujuzi kwenye utunzaji wa hayo maua, kama kuweka picha zipo nyingi sana mitandaoni.
Zinaleta hamasa na kutupa ujuzi wa waliotutangulia kwa mfano mimi sasa nategemea kufanya kitu kama hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…