Nilikuwa kilingeni bro tuwasiliane sasaChief hupatikani kwenye simu, hebu nicheki Kuna ishu tujadili. Pia mrejesho kuhusu Ile ishu ya Zuchu maana naona bei inapaa kweli kweli
Ni sekta isiyovuma lakini yenye kipato cha kueleweka na vijana wengi wamejiajiri na wengine wamepata connection kupitia bustani za maua na maua
Ua ni pambo la asili lenye kuburudisha, kutuliza mihamaniko ya maisha, kukupa amani na utulivu wa nafsi lakini ni chagizo pia na kichokoo cha kukua na usafi wa Kiroho
Lakini katika hayo hayo maua kuna yenye baraka, yenye ulinzi lakini pia yenye nguvu hasi
Kupitia mada hii tutaelezana mengi kuhusu bustani za maua, aina za maua na nguvu zake Kiroho hasi au chanya
Mideko View attachment 2893643
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mimea ambayo yanapendeza kwa rangi za majani yake, mfano Coleus na Crotons. Sio lazima maua, ni vyema kuchanganya ndiyo utapata furaha.Epuka mimea yenye miba na isiyotoa maua nyumbani.. Hata ikiwepo iwepo kwa uchache
kwa jina la mtaani ni 'mother in law's tongue'. Ukichukua kipande cha jani ukakipanda kitaota lakini hiyo njano ya pembeni haitajitokeza.Snake Plant- Sansevieria Laurentii
Fav.. View attachment 2893661
Aisee nimeotesha ka mche ka hii kitu nasubiria kwa hamu nione matokeo
haiwezi kua mazalia ya nyoka na wadudu atarishi ndugu
Hii kitu pia naitamani sana kwenye garden yangu
Ni sawa na kuoa mke wa pili kwani pampu ya maji inawaka saa 24 bila kuingiza senti.Hii kitu pia naitamani sana kwenye garden yangu
Zipo pump za solar nadhaniNi sawa na kuoa mke wa pili kwani pampu ya maji inawaka saa 24 bila kuingiza senti.
Nilidhani Kiwalani kwa mamakimbo.