First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.
Kiongozi, naomba unisaidie directions ma/ au unisaidie kupata contacts za hiyo sehemu.
huko obey,masaki,posta,mbezi beach kuna garden kwa ajili ya watoto/michezo ?ninavyojua mimi hata huko hakuna kituhasa kwa maeneo aliyoyataja, labda angekuwa anazungumzia oysterbay, masaki, posta, mbezi beach nk lakini pugu? g/la mboto? chanika? sidhani
Yaani Dar ni fun city na Zoo tu,wapeleke sadani wakaone na wanyama