Ganzi ya Kihistoria

NJUGHU

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
381
261
Baada ya matokeo ya kupitishwa kila mtu amepigwa na bumbuwazi na kama vile dunia ilisimama kwa Tanzania hata wa upande wa CCM maana walijua kwa logic ya kawaida kwamba akidi haitoshi tukimnukuu Mwigulu.Na watanzania wote si UKAWA wala viongozi wa kidini kila moja amebaki kimya!
Je huu ni muujiza?
Busara iko kwa Rais wetu Kikwete tu sasa,asije akanawa kama Pilato kuwa kikombe hiki hakimuhusu na kuhukumu,kwamba mchakato uendelee kwa kupigiwa kura bali utafutwe muafaka,ataliacha Taifa hili katika mpasuko mkubwa na chuki kubwa kati ya watanzania kwa kuipitisha hii Katiba kati ya wanaotaka katiba ya Warioba au ya Sita.Hii chuki itarithishwa kizazi hadi kizazi.Maana hata matokeo ya kura ya maoni yataonekana yamechakaluwa .
La sivyo Warioba awashawishi watanzania kwamba katiba ya Sitta ni nzuri.
Samaki hukunjwa angali mbichi.

Mungu ibariki Tanzania
 
kikwete ni walewale bora kaskazini na kanda ya ziwa tujitenge tuwe taifa huru kama alivyo kuwa anataka mangi mareale kuliko kuongozwa na vilaza kama haya mambulula ya ccm.
 
Natamani hii rasimu ipigiwe kura hata kesho ili tuizike mapema...
 
Back
Top Bottom