Ganja ni kwere

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
kuna jamaa kichakani walikuwa wanavuta bangi wakavuuta mpaka kiberiti kikaisha ikabidi wamtume mmoja wao akatafute kiberiti jamaa akazunguka kile kichaka akarudi pale pale kwa washkaji akawauliza mazee mna kiberiti jamaa wakajibu kuna mtu tumemtuma anakuja cc hivi!!
 
Kweli ndumu ni noma..!!
 
hii sio bhangi hawa wamerogwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…