Joshua Haji
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 108
- 20
Tatizo la kufanya Biashara kwa Mgongo wa Serikali ni Moja tu. Serikali haina Arabuni kama Milki yake ina demokrasia, hofu ya kupoteza kila kitu inakuja pale ambapo watu waliojivunia mali nyingi kiujanjaujanja wanaposoma upepo kwamba Serikali ijayo HAITAWEZA kupokea bahasha zao za Kaki, wazungu wanasemaje? "If you're not good in choosing allies, better be neutral" coz wen the system fails you go down with it..2015 Is about Power Shift;we need real businessmen and we will level the ground and set the standards if you cant compete then start learning how to.