Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

Kupitia mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho Kati ya Yanga na mamelodi,

Kocha mkuu wa Yanga Miguel GAMONDI, kafunguka mpaka Sasa Bado Aziz Ki na kipa Diarra hawajawasili kambini kuajili ya maandalizi ya mchezo

Pia Kuna dout ya wachezaji wengine; aucho, yaoYao na pacome Kukosa fitness kutokana na majeraha ambayo waliyapata.

Tuamini au ndio mind games zenyewe hizo
 
Kocha ana utoto sana hayo sio maneno ya kuongea kwenye press kubwa kama hiyo..

Yanga inaonekana kituko na uongozi was yanga unaonekana ni mbovu kuwai kutokea
 
Nilisikia walichelewa ndege sijajua kama waliweza kuondoka tena maana hilo lilikua swala la chama chao cha soka...
 

Mbona ni swala kawaida hiyo kauli ya kusema mchezaji ataangaliwa na timu ya taifa ni sentensi ya kawaida tu Messi akiwa na Inter Miami, kwenye mechi ya second leg kati ya Miami na Nashville alikua amepata maumivu ya msuli wa paja.

Kocha wa Miami aliulizwa hali ya Messi kuelekea mechi ya Jmosi hii, alijibu hali Messi itatolewa na National Team (Argentina). Mfano wa pili ni Mo Salah vilevile kocha alisema hali yake itatolewa na national team ( Egypt)
 
Kocha ana utoto sana hayo sio maneno ya kuongea kwenye press kubwa kama hiyo..

Yanga inaonekana kituko na uongozi was yanga unaonekana ni mbovu kuwai kutokea
Ili kuwa proffesional alipaswa kuzungumza katika tone gani kufikisha ujumbe kuwa baadhi ya wachezaji hawajawasili?

Au proffesional ilikuwa ni kutoongelea?
 
Kocha ana utoto sana hayo sio maneno ya kuongea kwenye press kubwa kama hiyo..

Yanga inaonekana kituko na uongozi was yanga unaonekana ni mbovu kuwai kutokea
Inawezekana kaulizwa swali, na pia inawezekana kuulizwa kwa hilo swali nae akatumia nafasi ya kucheza mind game.

Huyo anayeonekana nyuma ni nani Aziz Ki au ni Yao? Mkao wake kama Aziz hivi

 
Mi nimetafsiri kama mind game, siamini kama viongozi wanaweza kurusu Diarra na Aziz Ki wasiwe sehemu ya mchezo wa kesho, itakuwa hatuko serious na hizo national team, viongozi kuruhusu waende games za kirafiki wakati tuna mechi muhimu,yaani adake mdaka panzi Metacha?
 
Mi nimetafsiri kama mind game, siamini kama viongozi wanaweza kurusu Diarra na Aziz Ki wasiwe sehemu ya mchezo wa kesho, itakuwa hatuko serious na hizo national team, viongozi kuruhusu waende games za kirafiki wakati tuna mechi muhimu
Ni sahihi ni mind game, ingekuwa kweli hawapo asingeliongelea kabisa. Hayo maneno ya mind game na ukizingatia kocha wa Mamelod kamzungumzia Aziz Ki kama mchezaji hatari.
 
Wacheze walio Baki Mbona hakuna Shida Sasa walisajiliwa waje kufanya mazoezi,,kula,,kuoga,kulala,,,Kenya,,kusafiri n.k,,na kupokea mishahara bure??
 
Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa”

- Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika.

Yapi maoni yako??
kwakweli nimemsikiliza kwa makini na amekata tamaa kabisa gamondi,nami pia nishakata tamaa
 
Umetumia akili na nguvu nyingi kumjibu na kumuelewesha huyo dunduka empty set,hana anachokijua anaendeshwa kwa hisia na udaku ndio maana MO na kikundi chake wakina Jaribu Tena na Mangungu wanawachezea 5imba watakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…