DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Mwaka wa 3 natoka kapa? Mnaamua mchague kombe lipi la kulihesabu ila nyie mkichukua hata kikombe cha kahawa mnashangilia kama wehu.Sawa Gamondi anaiogopa simba, tumekubali. Robertinho pia alimfunga gamondi ndio maana Robert akapandishwa cheo simba. Na bila kusahau mambo yaliyofanyika nyuma ya pazia kwa sababu ili yanga ashinde lazima mambo yafanyike nyuma ya pazia ndio maana ulkula 7-2 kwenye ligi na mwaka wa 3 huu unatoka kapa kwenye kila kombe
Hofu itoke wapi wakati nina kikosi cha Ultra Sound, cha kupima watu umri.Unaandika huko hofu ya kufungwa ipo juu.. ukweli ni kwamba kesho Simba kusbinda ni swala bahati na Ndumba.
Sijaona kikosi cha kumzuia Azizi ki , Dube , Pacome wasiingie kwenye boksi na kusababisha maumivu
Kama umri ndio kigezo cha kushinda utakuwa disapointed sana baada ya mechi... mkiingia na mentality ya mikimbio yenu ya kasi nakuambia mkidhania mnacheza na APR litawakuta kubwaaa...Kwa jicho la ufundi kile kikosi chenu cha kwanza zidi ya APR kinaweza kumpa changamoto Yanga kuliko kile kilichoingia mara ya piliHofu itoke wapi wakati nina kikosi cha Ultra Sound, cha kupima watu umri.
Kuingia kwenye boksi wataingia, ila kufunga aaaah.
1) Kuchanganya nafasi kipindi cha pili ni kawaida sana kwa Gamondi rejea mechi ya Ts Galaxy na dhidi ya Augsburg, na ni kawaida kwa wiki ya wananchi huwa kunakuwa na timu mbili kila timu hucheza kipindi kimoja. Hata wiki ya wananchi ya msimu uliopita Gamondi alichezeaha vikosi viwili. Ni dhahiri shahiri kuwa lengo ni kutoa burudani na sio matokeo. Maana kama Gamondi angewaza matokeo basi Baca, Maxi, Azizi Ki na Dube ndio wachezaji pekee wangetangulizwa kwenye sub kuliko wengine wote.Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Kesho saa 1 usiku sio mbaliHofu itoke wapi wakati nina kikosi cha Ultra Sound, cha kupima watu umri.
Kuingia kwenye boksi wataingia, ila kufunga aaaah.
Kwa hali MILEMBE itaendelea kupokea wateja kila sikuKitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Sikuwahi kujua vichaa walioko mtaani ni wengi kuliko wale walioko mirembe.Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Jiandaeni kufukuza kocha, na Mgunda kuwa kocha mkuu.Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani.
Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja.
Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Huwa nakuamini lakini hapa umefanya analysis ya kitoto mno.Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.
Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.
Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani.
Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.
Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja.
Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?
Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.
Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.
PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Umemaliza Kila kitu Kama ajaelewa atakuwa na matatizo binafsi, hoja zake amejenga za kitoto sana mpira sio mbio mpira una njia zake kiufundi ingekuwa ni kasi basi kina ussain bolt wangekuwa wanasajiliwa kwenye Kila timu, na magoli yanakuja kutokana na combination ya wachezaji uwanjani na sio umri aliyewaroga mbumbumbu ni Kama vile alishafariki!Huwa nakuamini lakini hapa umefanya analysis ya kitoto mno.
1.Mechi ya majaribio kuingiza timu mpya kipindi cha pili inakuwaje kuficha kikosi, ni mara ya Kwanza kufanya hivyo?
2.Namna ya ufungaji magoli inakuja automatically baada ya build up, set up au rebound, inakuwaje tena iwe kuiga magoli ya timu pinzani?
3.