the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,001
Wadau habar zenu! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada!
Ni hivi nahitaji kupata PC yenye specs nzuri ktk affordable price... nkiwa na maana PC yenye uwezo wa ku run heavy duty softwares and Programs bila kusuasua.
*RAM: 4/6GB and above
*PROCESSOR: 2.5GHz and above
*HDD: 1 TB
*GRAPHIC CARD ya maana (Nvidia &Radeon)
*Video RAM kubwa.
Kwa kuongezea PC hii ikiwa ni HP itafaa sana!
Naomba kujua aina ya PC specs zake na gharama yake! Nfrk uzi huu utanipatia nachohitaji lkn watu wengne mtapata fursa hapa hapa.