Lakini si kweli
Member
- Jun 18, 2025
- 84
- 149
Wakuu habari za uzima , kwa wenyeji wa Tunduru Mkoani Ruvuma naomba kuuliza kuhusu gamestone zinazopatikana kwa wingi huko na biashara ikoje kwa kununua na ikitokea nikija na machine za kukata na kusafisha itakuwaje pia.
Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka kutoka Msumbiji
Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka kutoka Msumbiji