games zinagoma kufunguka

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
nina magame kama call of duty 2,pes 2010 n.k zamani yalikuwa yanachezavizuri lakini sasa ukibonyeza ili game lianze kucheza, game halifunguki na hakuna kinachotokea .naombeni msaada wakubwa
 
nina magame kama call of duty 2,pes 2010 n.k zamani yalikuwa yanachezavizuri lakini sasa ukibonyeza ili game lianze kucheza, game halifunguki na hakuna kinachotokea .naombeni msaada wakubwa

Kuna baadh ya driver zake zimezingua,
zimeliwa taratibu
 
jaribu kufungua antvirus yako nenda kwenye quarantine angalia mafile ambayo source yake ni hayo magame kisha yarestore yarudi mahala yalipotoka.

kama hamna au still tatizo halijatatulika hakikisha vitu hivi vipo up to date.
1. direct x
2. microsoft .net framework
3. distributable microsoft c++ za miaka yote
 
Back
Top Bottom