Games(like karata,Ludo Chess) hujenga Ndoa

Habari wapendwa. Natumai weekend inakwenda vizuri.
Kuna vitu vingi mwanamke na mwanaume wakiwa kama wanandoa yawapasa watekeleze ili waweze kufurahia ndoa yao.Leo napenda kushare nanyi haka ka Tip ka Games. Michezo kama Ludo, chess, karata,etc mkitafuta game moja mkawa mnacheza pamoja hakika nakuhakikishia kugombana ni ngumu sana .kucheza pamoja inawaleta close, halafu mnakuwa friends kwelikweli na pia u enjoy together kuna hali nzuri sana inakuwepo.Me and my husband huwa tukiwa na muda mdogo tunacheza chess au Ludo. inakuwa moment nzuri sana tunaenjoy maisha ya ndoa.basi pale mnabishana bishana kimahaba au pale mnafanya move unakosea but unamtazama kwa macho ya huruma unaomba urudie kucheza tena basi raha kwelikweli.Hamuwezi chokana aki.Mwanandoa kama ulikuwa huchezi any game na mwenzio pls nenda kajaribu kutafuta game mnaweza kucheza wote( hata kama mwenzio hajui mfundishe) then uje kunipa mrejesho hapa.Games zinaleta ucloseness flani.
NDOA NI TAMU[emoji4].
Mkuu thatz true,mimi nacheza xana karata na zuma,nikitoka job tu najua nangojewa
 
Yaani ndoa yenye umri wa mwezi mmoja unatafuta mbivu za kuiweka sawa, muda huo ni mfupi sana, subiri ifike miaka 10, subiri pia watoto waje na majukumu kuongezeka.
 
Niko na miaka mitatu na tuna watoto mpendwa.kuhusu miaka kumi kufika I believe hakuna kitakacho badilika.huwa mimi siwazi kabisa negative nawaza kuiona ndoa yangu 30year later ikiwa hivihivi tamu. Sijifunzagi kwa walioshindwa ndoa.natabiria mazuri ndoa yangu everyday.
 
Miaka kumi nitarudi kukupa mrejesho,cijakuelewa mkuu,here is matter of tyme,mungu anipe maisha
 
Kila la kheri mpendwa..BTW nafurahi kukuona tena jamvini
 
Miaka kumi nitarudi kukupa mrejesho,cijakuelewa mkuu,here is matter of tyme,mungu anipe maisha
Mpendwa namaanisha.sio vizuri tuwaze tu kilasiku negative kuhusu ndoa.mtu akisema ndoa yake iko vizuri unakuta anaambiwa subiri miaka kumi ya ndoa uone moto.kwa nini tuishi kwa negative.am sure zipo ndoa nyingi tu sana wamekaa miaka 30 but wanaoneka kama wamefunga ndoa jana.
 
Niko na miaka mitatu na tuna watoto mpendwa.kuhusu miaka kumi kufika I believe hakuna kitakacho badilika.huwa mimi siwazi kabisa negative nawaza kuiona ndoa yangu 30year later ikiwa hivihivi tamu. Sijifunzagi kwa walioshindwa ndoa.natabiria mazuri ndoa yangu everyday.
Be blessed mkuu,ndo ni devine gift
 
Tulikuwa tunacheza draft.
Mixer kumuibia ANALALAMIKA weee.mwisho nambembeleza.
Ila sio mke ni mpenzi.
 
Yaani ndoa yenye umri wa mwezi mmoja unatafuta mbivu za kuiweka sawa, muda huo ni mfupi sana, subiri ifike miaka 10, subiri pia watoto waje na majukumu kuongezeka.
Negativity tu zimetujaa kichwani, ndio maana huwa tunashindwa mambo mengi.
 
Ili maisha yaendelee ni lazima watu watofautiane mawazo, vinginevyo hakuna maendeleo kama wote tutawaza kitu kimoja. Hata katika hizo familia mnazojisifu nazo, huwezi kuwa na imani 100 % kuwa unachowaza ndo hicho hicho mwenzio anachokiwaza. Watu kama wewe, mnaoingia wazima wazima, siku mkigundua vinginevyo, huwa hamshauriki.
 
Upo sahihi kiongozi, lazima tutofautiane kufikiri, na hivyo kila mtu anaamua jinsi ya kuendesha love life yake.
 
mkicheza pamoja itazaa mazoea na mazoea yatazaa dharau. kama umenipata gonga like.
 
Upo sahihi kiongozi, lazima tutofautiane kufikiri, na hivyo kila mtu anaamua jinsi ya kuendesha love life yake.
Hapo sasa unena Mkuu, maana ni vigumu kuishi maisha ya mtu mwingine. Tumezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti, wake zetu pia wanatoka mazingira na mila tofuati. Kuna baadhi ya wanawake mwanaume ukishinda nyumbani week'nd bila kutoka yeye ananuna !!!! Na wengine ukizoea kucheza naye kila siku kama watoto, inaweza kuishia kwenye kukudharau.
 
Back
Top Bottom