Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 674
- 1,391
He'll bosses,
Wale tulio na games kwenye devices zetu, ni game gani unacheza sasa
Mm sio mpenzi sana wa games lkn sometimes na cheza mara nyingi napenda ku cheza game amambazo zina run online sio kudownload application.
Currently nacheza gama inatwa GO hii ni game origin yake ni huko china
Ni game linaloitaji utulie na utumie akili
Natumia Hihi kuchaza hilo game, nizuri sana lina imarisha critical & reasoning thinking yago
Unaweza ukamfundisha hata mtoto
Games zinasaidia kukufanya uwe bussy
Wewe una play game tupe jina lake, lbda ni app ipo play store etc