Ndio, kwani huyaoni ukipishana nayo?
unaendesha gari yoyote ni wewe kuinstal pack ya magari unayotaka kuyatumiahuwezi kudrive hayo,hiyo game iko designed kubeba mizigo tu
unaendesha gari yoyote ni wewe kuinstal pack ya magari unayotaka kuyatumia
MCHEZO WOTE UKO HAPA BROTHER
>> KWA MAGARI MENGINE MAKALI ZAIDI
Euro Truck Simulator 2 Trucks | ETS 2 Trucks - Modhub.us
>>> KWA MABASI NA MAGARI MADOGOMADOGO
http://www.modhub.us/category/euro-truck-simulator-2-mods/car-bus/
hiyo ni kwaajili ya pc tuu.mkuu kwenye simu inafaa?
MCHEZO WOTE UKO HAPA BROTHER
>> KWA MAGARI MENGINE MAKALI ZAIDI
Euro Truck Simulator 2 Trucks | ETS 2 Trucks - Modhub.us
>>> KWA MABASI NA MAGARI MADOGOMADOGO
Euro Truck Simulator 2 Car & Bus Mods - Modhub.us

Inawezekana ila mpaka utumie mods...zipo nyingi sana online unaweza kuzidownload na kuendesha magari tofauti na lori...mi ni moja ya game zangu maarufu..kuna mod moja ina ramani za africa ya kaskazini huko...morocco, misri , libya nk...very nice!
mkuu nipe link ya Raman ya Africa... nataman route za kwetu mkuu
Nenda kwenye link zilizotolewa hapo then in the site search what you want. Angalia version kuna universal mod for all version na mods nyingine kwaajili ya specific version
Nenda kwenye link zilizotolewa hapo then in the site search what you want. Angalia version kuna universal mod for all version na mods nyingine kwaajili ya specific version