Gamers:- imagine you had this setup...!!!!

Kwa hii setup nacheza simulators games tu, uhalisia unakuwa mia
 
Its possible to have that, I'm sure haitoku cost more than 2 mil.

Unanunua kimoja kimoja had room linakamilika
2mil? Haha in Tzs au USD? Kama unaongelea tzs then sahau hapo 2mil hata hiyo desktop PC yenyewe hainunui.

Game setup kama hiyo unakuta kila kitu high end. 2mil utaishia kununua GPU labda ukijibana sana unaweza nunua na CPU. Hii setup unahitaji kama 6mil+. Nina setup inakaribia hii sema sina monitor tatu na hiyo driving sababu napenda kutumia monitor moja na sichezi game za magari.
 
Kapicha tuwekee mkuu
 
Ndio,,sasa nataka ninunue ni shingap

Ni pesa ya kunua PASSO au VITZ kabisa

Hapo tuu kwenye racing wheel inakula laki 6 hadi 8 ingawa unaweza pata chini ya hapo. Ila ukijipanga mdomdo kama unajenga unaweza kamilisha. Me nimefikia hatua flani kwa sasa Mungu akijalia xmass ntakua nimejifungia na gaming mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…