Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Nahitaji gamepad kwa ajili kucheza Fifa 13 kwenye PC kwa yeyote anayejua Pad nzuri naomba anishauri ni ipi, nikipata gharama na mahali pa kuipata itakuwa vizuri..
Chukua hizi za 20 zina analog ziko poa za 10 zina button tu
Yangu sio ucomm na ilikua kwenye box peke yake maduka yote nayopitiaga nakutaga za ucom elfu 10 ila hiyo 20 ila natafuta za logitech sa hvmkuu yangu pia ina analog ni ucom. Kwa pad ya kichina 20,000 unaibiwa. Labda zile ambazo ni za 2 player pad 2 zina usb cable moja
Mimi natumia hz hapa imara kuliko zote nilizowahi kutumia zinaenda mwaka wa 2 nw na nilinunua kko kwa just 18000 tu tzsh
kuna vi file unaweka kama game linahitaji pad ya xbox tu halafu unatumia hyohyo generic game linadhan unatumia pad ya xbox
inaonekana ya ukweli hii.
Ucom inakubali pes na fifa tu. Je hii inakubali game zote maana kuna game zinasuport pad kama gta san andreas yangu inakataa
hii inakubali mazagazaga yote kuanzia fifa,need for speed,assasin creed gta na mengine mengi ila kwa pes sijawahi jaribu ila im sure itapiga kaziinaonekana ya ukweli hii.
Ucom inakubali pes na fifa tu. Je hii inakubali game zote maana kuna game zinasuport pad kama gta san andreas yangu inakataa
Mimi natumia hz hapa imara kuliko zote nilizowahi kutumia zinaenda mwaka wa 2 nw na nilinunua kko kwa just 18000 tu tzsh
Mkuu hii ndio inaitwaje?, na jee! Kuna duka specific ambalo naiweza kuipata kwa urahisi?