Emmanuel041
Senior Member
- Dec 4, 2017
- 109
- 115
Kwann umeulizaBro Úmeoa??
Huu ni muda mzuri wa Kúmfumua nywele, Kufanyiana massage, hata kufanya mambo yetu kuliko kucheza gameKwann umeuliza
MmhhHuu ni muda mzuri wa Kúmfumua nywele, Kufanyiana massage, hata kufanya mambo yetu kuliko kucheza game
Dogo kazi utafanya saa ngapi kama ubongo wako unawaza magemu tuu, fanya kazi, fikirisha akili namna ya kujikwamua,.Wakuu Habari Za Mida?? Tafadhari Husika na Kichwa cha Uzi Huu...
Kwa wale ambao wanacheza Game la PUBG jiunge na Grup la whatsapp Tukaunde kikosi PUBG MOBILE TZ
![]()
![]()
Karibuni sana... Kama Unalo game hili na Unahiitaji Marafak zaidi Jiunge pia Kwa wale ambao wanahitaji Maelekezo zaidi kuhusu Game hili Nao Tukutane Kundin link PUBG MOBILE TZ
NB: Kwa Wenye TECNO W4, TECNO L9,TECNO L9 PLUS NA Simu zingine zenye Version zilizo chini Game hali Support hivo usije..View attachment 868069
Mmh Nimegundua wabongo wengi washamba kabisaDogo kazi utafanya saa ngapi kama ubongo wako unawaza magemu tuu, fanya kazi, fikirisha akili namna ya kujikwamua,.
we endelea Kuwaza kazi Sijui kuhustle Huna mda wa kupumzika ndo maana mnakufa mapema maana Hamna Mda wa kupumzika mnajitia wataftajiSasa hata wewe umeijia nn JF kama Unakazi ya Kufanya?? Kwann usifanye kazi kwanzaDogo kazi utafanya saa ngapi kama ubongo wako unawaza magemu tuu, fanya kazi, fikirisha akili namna ya kujikwamua,.
akijibu naomba nitagiSisi wenye iPhone X tunaruhusiw kuchangia huu uzi???
NdioSisi wenye iPhone X tunaruhusiw kuchangia huu uzi???
