Game ya draft kwenye android

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,739
Reaction score
42,823
Wakuu naombeni mnifahamishe game nzuri ya mchezo wa draft kwenye android.. Kila nikingia play store nakutaka na ambazo hazieleweki au nyingine ni nyepesi sana.. Yani opponents hapana changamoto.. Msaada wenu nipeni ambayo ni best sana asante
Cc Chief-Mkwawa
 
Kaka cheki hio playstore inaitwa checkers online wee nakwambia utashinda game 2 kati ya 40

 
Hio checkers online ni hatari bhana uta uninstall baada ya siku 3 maana huwezi shinda
 
Cheza checkers elite, lipo vizuri sana kwa online, unachugua mwenyewe ucheze na mtu wa uwezo gani.
Ukiliinstal nitafute nikukaribishe.[emoji3][emoji3][emoji3]

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…