Game linaganda ganda is it ram or vidfocard

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
wadau nina dell 2.5ghz 70gb pentem 4 1.2 gb ram(ddr1) video 64mb nikicheza san andreas game linaganda ganda nnaomba ushaur kufix hii ishu?
 
wadau nina dell 2.5ghz 70gb pentem 4 1.2 gb ram(ddr1) video 64mb nikicheza san andreas game linaganda ganda nnaomba ushaur kufix hii ishu?

Hio ni processor sjajua game lako liko installed au ni rip(lipo ndan ya folder)

Maana san andrea rip linahitaji ram 256 mb tu. Na processor ndogo

Kama limekua installed download rip then unistalll
 
Jaribu kupunguza level of details kwenye game,na punguza resolution. Ndo utaweza kupata framerates zinazochezeka ila graphics hazitokuwa nzuri..
 
tafuta rip version ya hiyo game litacheza vizuri...sababu kama umeinstall san andreas hizo specs zako zitazingua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…