ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Wakuu nimedownload game la dream league baada ya kuona humu jukwaani wengi wakilisifia, sasa changamoto inakuja jinsi ya kulicheza.
Wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kucheza hili game kwa ufundi zaidi niweze kushinda maaana tangu nilidownload last week nimefunga Mara moja tu. Game limehakiwa.