Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,563
- 3,708
inasumbua kidogo fanya hivi simu zote kwanza msiweke password kwenye hotspots.ok, nitajaribu me ilikuwa inagoma.
Kisha simu A iwashwe wifi simu B iwashwe Hotspot zikiwa connected simu zote fungue game.
Simu zote nenda kwenye Multiple player kisha iliyowashwa wifi create itakuwa inamsubili aliyewasha hotspot ajiunge sasa hapa ndio penye wengi wanakosea
Cha kufanya simu A wakati anamsubiri simu B hapa inatikiwa kufanya exchanging bila kukata game shusha kioo kisha B awashe WIFI badala ya Hotspot na A awashe Hotspot badala ya WIFI
Alafu B aki-click kwenye create atamuona A kisha ata join na hapo tayari game litaanza kunyesha list ya data za wachezaji kuanza kucheza.
Mechi ikiisha una click REMATCH upande wa kushoto manaendelea kucheza tena bila kufanya connection lakini ikibofya continue mtalazimika muanze upya connection.
Au mpaka niweke na picha.!!!