Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Asphalt 8airbroine,mortal kombat x,lara croft,beach buggy,pugb,fifa,soccer star. zengine mpaka nimesahau
 
Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.

Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:

8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers
Princess Surfer
Drop stack ball
Temple Run 2
Subway surfer
Ilo candy crush nimeinstall lakini nimeshindwa kulicheza ' msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…