Gambia's Yahya Jammeh 'agrees to step down' and will leave the country

Gambia's Yahya Jammeh 'agrees to step down' and will leave the country

Habari zahivi punde

Yahya jameh akubali kuachia madaraka. Nakuondoka nchini Gambia

Chanzo:BBC
d53c6d9703eab993e03b39f435344904.jpg
This is old news Chibudee
 
Mbona aliomba asishtakiwe na aruhusiwe kuishi kijijini kwao.......au amekataliwa......?.......
 
maisha gani hayo angeachia toka mwanzo sasa angeishi kwa amani na heshima
 
Alisema alikuwa anafuata maagizo ya mungu, sasa sijui huyo mungu wake kabadilisha kauli! Sisi hapa TZ sijui kwa nini tunayo miungu ming'ang'anizi dizaini hii! Twafaa!
Wa Africa huwa tunamtumia Mungu kuficha matatizo yetu na ili kiongozi a win wasiojielewa atamsingizia mungu hata pasipohusika na kujipa uungu.
 
Aibu!

Huku Obama kaachia kwa amani huko Jammeh anang'olewa kwa nguvu.
Huna haja ya kufananisha Gambia na USA...

BTW hata Obama aliachiwa na Bush kwa amani....Bush aliachiwa na Clinton kwa amani....

Tafuta mifano relevant.....Ghana vs Gambia....may be
 
Huna haja ya kufananisha Gambia na USA...

BTW hata Obama aliachiwa na Bush kwa amani....Bush aliachiwa na Clinton kwa amani....

Tafuta mifano relevant.....Ghana vs Gambia....may be
hujaelewa alichoandika Ngabu!...
 
Jamani jamani watu walishaputa na kubeti mkeka alafuu analegea tena ina maana garama zote nani atalipia.si angeng'ang'ania wamle japo kiboga mamake zake..
 
Aibu!

Huku Obama kaachia kwa amani huko Jammeh anang'olewa kwa nguvu.
Afrika bhana kuna watu wameniquote wakisema I do not deserve the likes I have! Just imagine watu wanahusda mpaka na likes tu!
 
Hatimae amekubali kuondoka madarakani baada ya kushawishiwa na Rais wa Mauritania, inasubiriwa atoe statement tu.
--
Gambia's new president has said that Yahya Jammeh, who ruled the country for 22 years and refused to step down after losing the recent election, has finally "agreed to leave".

Writing on Twitter on Friday, Adama Barrow said Jammeh would also leave the country.

"I would like to inform you that Yahya Jammeh has agreed to step down. He is scheduled to depart Gambia today. [HASHTAG]#NewGambia[/HASHTAG]," he tweeted.
View attachment 462072

Barrow was sworn-in at Gambia's embassy in Dakar in neighbouring Senegal, on Thursday.

Red carpets were on Friday reportedly laid out at the airport in Gambia's capital in what appeared to be preparations for a speech by Jammeh and a departure.

Also on Friday, Gambia's chief of defence forces Ousmane Badjie pledged his allegiance to the country's new president, a major shift as mediation continued to persuade defeated Jammeh to cede power.

Jammeh had rejected Barrow's December 1 election win, despite significant pressure from regional powers and the UN, sparking a major crisis.


Source: Gambia's Yahya Jammeh 'agrees to step down'

Just in From Fatu Network Twitter Account


The Fatu Network– ‏@FatuNetwork

@adama_barrow This is fake news from a fake twitter account! Talks are still on going. For accurate information on [HASHTAG]#Gambia[/HASHTAG] pls chk with us.
 
Huna haja ya kufananisha Gambia na USA...

BTW hata Obama aliachiwa na Bush kwa amani....Bush aliachiwa na Clinton kwa amani....

Tafuta mifano relevant.....Ghana vs Gambia....may be
Je, huyo mjaluo amemuachia Trump Kwa amani au.....?
 
Kiongozi wa muda mrefu nchini Gambia Yahya Jammeh amekubali kung'atuka na kuondoka nchini humo, rais anayetambuliwa na jamii ya kimataifa amesema.

Adama Barrow ametangaza hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, baada ya mazungumzo ya saa kadha yaliyonuiwa kumshawishi Bw Jammeh kukubali matokeo ya uchaguzi.

Mataifa ya Afrika Magharibi yamewatuma wanajeshi Gambia na kutishia kumuondoa Jammeh madarakani kwa nguvu.

Bw Barrow amekuwa nchini Senegal kwa takriban wiki moja.

Aliapishwa kuwa rais mpya wa Gambia katika ubalozi wa Gambia mjini Dakar mnamo Alhamisi.

Ametambuliwa na jamii ya kimataifa kama kiongozi mpya wa Gambia.

SOURCE BBC SWAHILI
 
Back
Top Bottom