Gambian CDF says his troops will surrender to ECOWAS forces

Gambian CDF says his troops will surrender to ECOWAS forces

Hana uwezo wa kupambana na vikosi vya ECOWAS. Hata asingesema aweke silaha chini, kupigwa alikuwa anapigwa tu.
 
Jamaa katumia tu akili ya kawaida,anajua fika jeshi lake halina ubavu wa kupambana na jeshi la senegal,ni sawa na barcelona kuja kucheza na yanga,kocha wa yanga na wachezaji wanajua kabisa hawasalimiki
Kaka mwanzo umeanza vyema kabisa, jamaa ameshaona kuwa uwezo wa kupambana na ECOWAS hana.

Umekuja kuharibu kutoa mfano aa Barca na Yanga, huu mfano Mkuu haustahili hata kuwa mfano. Sema Barca na Simba Kaka.

Baada ya matokeo hakika watu tutalala kwenye vitanda na kujifunika mashuka huku tukicheka tu chinichini.
 
Simba yanga walewale tu ila nitafuta hyo paragraph nsiwakwaze wanazi
 
Heh, hivi Fatou Bensooda wa ICC anatokea Gambia. Nakumbuka rais wake aliwahi sema kwa kitendo cha kumshitaki Kenyatta asithubutu kurudi nchini kwake!?
Fatou Bensouda ni mtu wa Gambia ila amesomea sheria nchini Nigeria. Baada ya kuhitimu masomo yake alirudi nchini Gambia.
Na Fatou Bensouda alikua mshauri wa Yahya Jammeh kuhusu mambo ya kisheria kabla hajateuliwa kwenda ICC. Najaribu kuwaza itakuwaje Fatou Bensouda kumfungulia mashtaka boss wake wa zamani. Lets wait
 
Naona wasenegali wameshapewa go ahead ya kuingia Gambia. Yahya Jammeh sijui atajificha wapi
 
Jamaa katumia tu akili ya kawaida,anajua fika jeshi lake halina ubavu wa kupambana na jeshi la senegal,ni sawa na barcelona kuja kucheza na yanga,kocha wa yanga na wachezaji wanajua kabisa hawasalimiki
Itategemea wanachezea uwanja gani. Kama ni pale Kanda Barcelona watalowa 5-0.
 
Daaa! hii ni ya kwanza Afrika kutokea,Eeh Mungu saidia mpaka huku majeshi yetu yasiwe vibaraka wa wanasiasa
 
Huyo army chief hana cheo?brigedia jeneral,major jeneral,luteni au jenerali wa nyota nne?hata ukanali hana?
 
Unakuta hii ni technique tu ya kijeshi ya kuwapoteza maadui alafu awapige ambush ya hatari
...Mmh wana huo uwezo kweli? Kuna uzi uliletwa hapa kajeshi kenyewe kadogoo, ndege sijui 2 au 3...Ndo kwelie wataweza kuwaambushi ECOWAS??
 
Jamaa katumia tu akili ya kawaida,anajua fika jeshi lake halina ubavu wa kupambana na jeshi la senegal,ni sawa na barcelona kuja kucheza na yanga,kocha wa yanga na wachezaji wanajua kabisa hawasalimiki
... Hahaaaaa, very likely scenario.
 
Political disputes...talk to talk or walk to talk....
Let's sit and wait the end of this.
 
shitaka kuhusu nini, amefanya kosa gani linalohusu makosa ya jinai ya kimataifa? ie. genocide, crime against humanity, war crime and this year will be crime of aggression. hayo tu ndio makosa ICC inashughulikia.
Aggression ICC has no jurisdiction
 
Aggression ICC has no jurisdiction
I said this year, watakaa Uturuki kulijadili, halijaanza kufanya kazi, mwaka huu 2017 ndio kuna kikao (tofautisha na kile kilichokaa uganda 2010 wakaahirisha hadi 2017), ndio maana nimesema this year, kama watakuwa wameamua kuliunganisha. ila kwa sasa, ICC haina jurisdiction na hilo kosa, yapo tu matatu kama nilivyoorodhesha....ie...genocide, crime against humanity na war crimes.
 
Katika hiyo ya crime against humanity anaweza kushitakiwa kwa kosa katika kifungu kinachosema: "The perpetrator knew that the conduct was part of or intended the conduct to be part of a widespread or systematic attack against a civilian population".
The intent to commit such crime is also counted as offence
hamna kitu hapo. ukisheleta mambo ya intent wakati yeye hajafanya chochote kilichosababisha madhara kwa raia...itakuwa inchoate offence kama zingine tu. rais huyo hajaleta madhara kabisa hadi sasa, labda kama watamshitaki kwa makosa ya zamani, ila sio kosa lililotokea baada ya uchaguzi. maana ya icho unachoongea unatakiwa utafsiri wakati mtu ameshafanya matendo yanayodhuru raia. unatakiwa kuleta ushahidi kwamba amefanya kitu fulani, kikasababisha madhara kwa wananchi, madhara hayo ni haya, na wananchi hao ni hawa, na alifanya hivyo akijua kuwa kitendo chake kitadhuru raia au alikuwa anafanya kitu ambacho kimepangiliwa kuwadhuru raia....achana na inchoate offence, hawaongelei hizo katika kifungu hicho.
 
Back
Top Bottom