Gamba moja limepinga ushindi wa chadema

Gamba moja limepinga ushindi wa chadema

Lutubija

Senior Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
125
Reaction score
10
Aliekua mgombea umwenyekiti katika uchaguzi wa serikari za mitaa kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi NYINYIM BWANA MAHUSHI kaenda kupinga mahakamani ushindi wa CHADEMA kakika mtaa huo ni mtaa wa msalala rod kata ya kalangalala jimbo la Geita mjini hoja zake ni 1:KADAI WANAWAKE HAWAJAPIGA KULA 2:MWENYEKITI WA CHADEMA JIMBO ALIKUJA KWENYE KITUO CHA KUPIGIA KULA wakuu naomba mnisaidi kujuwa kama hizo sababu zinaweza kutengua ushidi
 
Aliekua mgombea umwenyekiti katika uchaguzi wa serikari za mitaa kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi NYINYIM BWANA MAHUSHI kaenda kupinga mahakamani ushindi wa CHADEMA kakika mtaa huo ni mtaa wa msalala rod kata ya kalangalala jimbo la Geita mjini hoja zake ni 1:KADAI WANAWAKE HAWAJAPIGA KULA 2:MWENYEKITI WA CHADEMA JIMBO ALIKUJA KWENYE KITUO CHA KUPIGIA KULA wakuu naomba mnisaidi kujuwa kama hizo sababu zinaweza kutengua ushidi[/QUOTE]
 
Geita ccm ilishafutwa wamebaki na mtaa mmoja wa Mzee dua wapiga kula wake wengi ni wacheza shoo, vibaka na mabaamedi mitaa mingine hata warudie mara mia mia wataendelea kukalia ukuni.
 
Back
Top Bottom