gals!my treat twenzetuni

Alafu wewe duhh is like ulitumwa na Mungu uweke tabasamu usoni mwangu, hahahahahahahahahahahahaha kicheko nilichocheka ni cha haja bandugu. Kiingereza si mchezo. Hata mie nikikitumia huwa najifikiria mara mbili mbili nisije chekesha umma. haha sentensi inabidi kwanza ziundwe kichwani ndio uitoe hadharani chezeya wewe lugha ya malkia
 
ahahahahh ahsante kwa kukufanya utabasamu mwaya!
jitabasamishe mpenzi!maisha yenyewe ndo haya haya!lol!
 
Mtani snowhite hicho ni kingereza cha kingoni ,lol.Maana na ninyi watani zangu mmesoma sana bwana............ngoja dada Kaunga aje nae aone
 
Wajanjajeeee sasa hao!!! Teh Teh Teh ujasiliamali wa nguvu. Naja dada, tukawaungishe japo kwa kubandika kucha!
 
Kajipambeni maua yetu, sie twapenda sana hayo mambo yenu, hima mwendeni na itikieni wito.
 
aiseeee hahahahhaahaa iyo padikwa na manikwa...hahahhaaa
 
Last edited by a moderator:
mie nataka sana hiyo padqwa na manqwa!!!
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwi kwiiiiiiiii... Mi padqwa na manqwa lolz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
I don't wanna miss the padqwa and maniqwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…