Gallstone/mawe kwenye nyongo ya ng'ombe

Gallstone/mawe kwenye nyongo ya ng'ombe

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,420
Reaction score
1,876
Ninanunua gallstones ni mawe yanapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
 
hivi hiyo kitu ina kazi gani? Maan kuna mzee huwa ananiangiza sana niwe nampelekea, nikimuuliza anakausha hataki kusema
 
Hayo ni mawe yanayopatikana kwenye nyongo ya Ng'ombe . Yanatumika kutengenezea Dawa mbalimbali kama dawa za kutibu Moyo, Dawa za kutibu Maini na Figo. Yanatumiwa sana nchini China toka karne ya 5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom