Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Nov 28, 2017 #1 Wakuu kuna simu yangu s6 nilikuwa naflash ikazingua ila baadae nikafanikiwa Kuflash Fresh na nika update sandroid to Nougat yaan 7.0 sasa shida ni kwamba baada ya ku update line yangu haishiki 4G au H+ na ni voda ya 4G
Wakuu kuna simu yangu s6 nilikuwa naflash ikazingua ila baadae nikafanikiwa Kuflash Fresh na nika update sandroid to Nougat yaan 7.0 sasa shida ni kwamba baada ya ku update line yangu haishiki 4G au H+ na ni voda ya 4G
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,920 Reaction score 4,216 Nov 28, 2017 #2 Aaaa we iyo vision aiendani na uwezo wa cm